Sunday, 8 March 2015

Waganga wa kienyeji 32 watiwa mbaroni Geita

Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia waganga wa kienyeji 32 kwa tuhuma za kupiga ramli ‘chonganishi’  zinazosababisha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi, akiwamo mtoto Yohana Bahati (1) mkazi wa Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato mkoani hapa na mauaji ya vikongwe.
Waganga hao ambao walikamatwa kwa nyakati tofauti ni wale wanaojihusisha na kazi za kuwatakasa wanaokata mapanga na kupiga ramli ‘chonganishi’ zinazoenda sambamba na mauaji ya albinoEndelea kusoma

No comments:

Post a Comment