Sunday, 8 March 2015

Maambukizi ya Ukimwi yatishia uhai wa watoto

Maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yameelezwa kuwa tishio na asilimia 50 ya watoto wanaozaliwa na virusi vya ugonjwa huo hupoteza maisha ndani ya miaka miwili tangu kuzaliwa wasipopatiwa dawa za kupunguza makali ya virusi (ARV).

Miongoni mwa wanawake wajawazito 100 wenye virusi vya Ukimwi wasipopatiwa dawa, watoto wanaozaliwa asilimia 80 hupoteza maisha ndani ya miaka mitano na vifo vingi vinatokana na kinamama hao kutotii masharti wanayopewa wakati wa kliniki na baada ya kujifungua.habari zaidi

No comments:

Post a Comment