Shirika la Afya Duniani (WHO) linaielezea afya ya binadamu kuwa ni hali
ya kustawi kimwili, kiakili na kijamii na siyo kukosa maradhi pekee.
Hata hivyo, wengi hawafahamu ukweli huo ambao unaweza kuwa ndiyo sababu ya kufanya mambo yanayoweza kuhatarisha afya za jamii.
Usingizi ni moja ya mambo yanayoweza kuathiri afya ya mtu. Kulala zaidi au kutolala vya kutosha ni hatari kwa afya.
Hivyo ndivyo ukweli ulivyo kiafya, ingawa tatizo lililopo ni kwamba, wengi hawajui walale muda gani na kwa sababu zipi.Habari kamili
No comments:
Post a Comment