Daktari bingwa wa zamani wa upasuaji katika Hospitali ya Rufaa
ya KCMC, Dk Fulgence Mosha anasotea mafao yake ya kiinua mgongo na
pensheni kwa miaka 10 mfululizo bila mafanikio.
Akizungumza juzi, Dk Mosha alisema licha ya
kulifikisha suala hilo kwenye vyombo husika, ikiwamo Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora, bado mafao yake ni kitendawili.
No comments:
Post a Comment