Matokeo ya utafiti yaliyochapishwa Kwenye tovuti ya nature,
yanaonyesha kuwa matatizo ya upungufu wa
nguvu za kiume hasa kushindwa kusimamisha vizuri, kunasababishwa kwa kiasi
kikubwa na matatizo ya kisaikolojia.
Matatizo hayo yapo zaidi kwa wanaume
wengi wenye umri wa miaka ya kati
(makamo), ukilinganisha na wenye
umri mdogo.Kwa Habari zaidi
No comments:
Post a Comment