
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ‘albino’ Baraka Cosmas (6) anayeishi na
wazazi wake kijijini Kipeta, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga
ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa
kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomeanacho kusikojulikana.
Kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment