Kwa
taarifa ambazo zimetufikia muda huu zinadai kuwa Bweni la Wanawake
Mabibo Hosteli jijini Dar es Salaam linaungua moto muda huu, bado sababu
na chanzo cha moto huo bado hakijafahamika,Mtu mmoja ameumia kutokana na kuruka kutoka ghorofani. kwa habari zaidi
No comments:
Post a Comment