CHAMA Cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health
Association-TPHA), kipo kwenye mkakati kabambe wa kuendeleza na kuinua
mapato ya chama hicho ikiwemo kujenga jengo la kitega uchumi la kisasa
litakalo kuwa na zaidi ya gorofa 20, katika makao makuu ya chama hicho
jijini Dar es Salaam.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana kwenye
kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa TPHA
unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, mjini Bagamoyo ambapo
wataalamu wa majengo nchini wa kampuni ya K&M Archplans (T)Ltd,
walipowasilisha mpango kazi wao huo ikiwemo mchoro wa jengo hilo la TPHA
litakavyokuwa.Endelea kusoma
No comments:
Post a Comment